" WENYE VYETI VYA KUGUSHI, WATUPISHE " ALICHOONGEA RAIS JPM KWENYE MEI MOSI +VIDEO

Image result for magufuli

May 1, ni siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambapo nchini Tanzania, maadhimisho hayo yamefanyika Mkoani Killimanjaro kitaifa, kwenye viwanja vya Ushirika mkoani humo, maadhimisho hayo yameongezwa na Rais wa Tz Mh. Dkt. John Pombe Mgafuli.

Katika maadhimisho hayo, walikuemo pia Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na viongozi wengine mbalimbali wa serikali... nimekuekea hapa video ikionesha alichozungumza Mgeni rasmi katika hafla hizo. 

Alichoongea sana ni juu ya vyeti feki, wafanyakazi hewa, kufoji umri, na vyeti vya kugushi " Wenye vyeti vya kugushi, watupishe " Alisema...  

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.