WEMA SEPETU AYAMALIZA KWA KUPARTY NA DIAMOND KWA STYLE YA 90'S BDAY YA SALLAM +PICHA 4



Muigizaji na staa wa bongo movie Wema Sepetu amebadilisha mategemeo ya wengi walioshiriki party ya meneja wa msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ usiku wa jana baada ya kutoka kizamani zamani na nakusherehekea kwa pamoja na wote waliofika.
Akizungumzia furaha yake ya kushiriki party hiyo iliyopewa maudhui ya miaka ya 90(90s) Wema amesema kuwa kwake haoni sababu ya watu kuona kuwa hasingefika kwakuwa hayuko tena katika mahusiano na Diamond Platnumz na kusema kuwa hakuna sababu za kuendelea kuishi maisha ya kutoelewana siku zote.
Nimekuekea hapa picha nyingine zikionesha jinsi kilivyohappen kwenye party hiyo.... 



No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.