JPM KUPELEKA FURSA MPYA MKOANI TANGA, " MJIANDAE "
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa Tanga kujipanga kunufaika na fursa mablimbali za ajira ya biashara
kufuatia mradi mkubwa wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.
No comments:
Post a Comment