MAHAFALI YA 19 CHUO CHA UHASIBU ARUSHA +PICHA

Naibu waziri wa fedha na Mipango Mh. Dkt. Ashatu Kijaji ( mb) akiongoza wahitimu wa mahafali ya 19 ya chuo cha uhasibu Arusha. Pembeni ni Mkuu wa chuo hicho Dr. Faraji Kassid.

Mapema week iliyoisha yamefanyika mahafali ya 19 ya chuo cha uhasibu Arusha na Mahafali ya nane ya Shahada ya Uzamili kwa kushiikiana na chuo kikuu cha Conventry cha Uingereza tarehe 01/12/2017.

Akiongea katika mahali hayo mgeni rasmi, naibu waziri wa fedha na Mipango  Mh. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewapongeza watahiniwa hao na kusema wanoaendelea wafanye bidii katika masomo yao. 

“ Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yanapewa kipaumbele kikubwa katika budget zetu kama wizara ya fedha hivyo serikalii inawajalii sana wanafunzii” aliongeza Waziri Kijaji. 

Sambamba na hayo mkuu wa chuo Dkt. Faraji Kassid amewaasa wanafunzi wanaoendelea na masomo wafanye bidii.







No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.