JOH MAKINI AHAIDI MAKUBWA, VIDEO YAKE MPYA.

JOH MAKIN AHAIDI MAKUBWA VIDEO YAKE MPYA, AMBAYO AMESEMA AJUI BADO NI VIDEO YA NYIMBO GANI, ITAFANYIKIA NJE YA NCHI, KAAELEZA.

Nguli uyo, anayekwenda kwa jina la mwamba wa kaskazini akiwa kwenye mahojiano  na kipindi kimoja cha radio, ameeleza kuwa anatarajia kwenda nje ya nchi kufanya video kali na yatofauti ambayo amehaidi kufanya kitu cha tofauti kabisA, LAKINI ameeleza pia hajui ni wimbo gani anaoenda kuufanyia video hiyo....

12237050_150003775355255_445576821_n(1)

>>>’Natarajia kufanya vitu vingine vikubwa kwenye huu muziki tofauti na ambavyo umeshavisikia, ninaweza nikasafiri mwisho wa hii wiki kwa ajili ya kwenda kufanya video lakini mpaka sasa sijajua ni wimbo gani naenda kufanyia, muda huu tunaenda wote mimi, Nikki II na G Nako lakini kila mmoja ana project yake‘:-Joh Makini



All the best, @ WEUSI.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.