UBUNGE + MUZIKI - MR. II SUGU AFANYA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA BAADA YA KIMYA KIREFU, ITAZAME HAPA


Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini ni msanii wa kitambo wa hiphop baada ya kimya kirefu kwenye bongo fleva, ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya MJ Records video imeongozwa na Hanscana.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.