DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ZARI.. AWAPA UJUMBE HUU HATERS

12976137_1700362946885122_96814631_n

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.

Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu zivume tetesi kuwa hitmaker huyo alimsaliti mpenzi wake na mrembo anayeonekana kwenye video ya msanii wake, Raymond, Kwetu.

Msichana huyo aitwaye Irene anadaiwa kuitikisa ngome ya The Chibus.

13150841_1059293014132675_910153032_n

IRENE..

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.