POGBA ASAINI JEZI YA SHABIKI WA MANCHESTER ILIYOANDIKWA JINA LAKE ...+ PICHA




Shabiki mmoja wa Manchester United ametona na mpya ya aina yake kwenye akaunti yake ya Instagram juu ya Paul Pogba.
Post yake hiy Instagram imekuwa ikisomwa na watu wengi leo hii tofauti na zingine ambazo huwa anaposti baada tu ya tukio hilo nyota huyo wa Juve.
Licha kuwa bado ni mchezaji wa Juventus Mfaransa huyo (23) aliamua kufanya tukio hilo la tofauti na mshabiki huyo mkubwa wa United ambaye alikuwa amevaa fulana ya Man United.
Kimsingi shabiki huyo walikuwa amevaa jezi mpya ya Man United kwaajili ya msimu mpya wa 2016-17. ambayo ilikuwa imeandikwa namba sita mgongoni
Kitu kilichoshangaza wengi ni kwamba, Pogba alisaini jezi hiyo, na mshabiki huyo alipiga naye picha kama tatu hivi na kuzi-share katika akaunti zake mbalimbali za mitandao kijamii.
Halafu akaandika ujumbe huu kwenye picha zake hizo:
So this just happened! (Probably the first United jersey he has signed since the impending transfer) Thanks @paulpogba for making my 18th birthday a little more special!
Hii imetokea! (yamkini hii ndiyo jezi ya kwanza ya United ambayo ametia saini tangu saga la uhamisho wakee lilipoanza) Asante sana@paulpogba kwa kuifanya siku yangu ya kutimiza 18 kuwa ya kipekee!

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.