IT'S FINAL:: CRISTIANO RONALDO, GARETH BALE NA ANTOINNE GRIEZMAN, TOP 3 KUSHINDANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA ULAYA


B3

UEFA wamewatangaza wachezaji watatu ndio wamefanikiwa kuingia katika TOP 3 ya mwisho kati ya wachezaji 10 waliokuwa wamechaguliwa mwanzoni, Cristiano Ronaldo,Gareth Bale wa Real Madrid na Antoinne Griezman wa Atletico Madrid. 

UE

Waandishi wa habari kutoka nchi 55 wanachama wa UEFA wanatarajiwa kupiga kura August 25 2016 kumchagua mchezaji bora wa UEFA kwa msimu wa 2015/2016

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.