VIDEO : DRAKE NA RIHANNA HATARII TUPU,, TAZAMA VIDEO HII YA SHOW YA OVO FEST 2016

drake-rihanna-ovo-fest

Rapper Drake na staa wa R&B, Rihanna July 31 walifanya show kali kwenye ziara za Drake za OVO katika ukumbi wa Air Canada. Mashabiki wao walikuwa wakiwashangilia muda wote na kuwafanya walio wengi kuamini kuwa wawili hawa ni wapenzi kweli.

Tazama video hapa chini.... 


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.