BREAKING | NEWS : ALIYEWAHI KUWA WAZIRI WA ELIMU JOSEPH MUNGAI AFARIKI DUNIA


Image result for breaking news

Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu


Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.