LIVE : DONALD TRUMP AONGOZA UCHAGUZI MKUU MAREKANI KWA ASILIMIA 49.2


Uchaguzi bado unaendelea nchini marekani ikiwa ni majimbo machache yakiwa yamesalia, kwa majimbo ambayo tayari, inaonesha kuwa Trump anaongoza mbele ya Hillary kwa 49.2%  dhidi ya 46.5% ya Hillary Clinton.

Haya ni matokeo ya awali... matokeo kamili yatapatikana pale majimbo yote yatakapokamilika.






No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.