YUSUPH MANJI ASEMA ATAENDA KURIPOTI POLISI KESHO, SIO IJUMAA

 Image result for yusuph manji
Mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga,  Yusuph Manji ambaye naye ametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na RC makonda, amelaani na kukasirishwa na kitendoo hicho cha kuchafuliwa jina na kuaidi kufungua mashtaka.

Aidha amesema yeye ataenda kuripoti polisi siku ya kesho na sio ijumaa kama jinsi alivyotangaza Rc Makonda. 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.