IMENIFIKIA TOP 10 YA WANAWAKE WENYE MALIPO MAKUBWA KWENYE MUZIKI DUNIANI
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani, Imenifikia list ya wanawake wanaolipwa vizuri kwenye muziki duniani, Forbes wamewataja na vipato wanavyoipwa, na hawa pia wametajwa kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa muziki duniani.
Nimekuekea hapa mtu wangu list hiyo nzima kwa njia ya picha... #HappyWomensDay
No comments:
Post a Comment