MAPENZI YA " GAME OF THRONE " - WAFANYA SHEREHE YA HARUSI KAMA ILIVYOKUA KWENYE FILAMU HIYO +PICHA

Game of Thrones

Mashabiki sugu wa mwendelezo wa filamu za Game of Thrones waliamua kupiga hatua zaidi katika ushabiki wao kwa kufanya harusi ambayo iliiga filamu hiyo.
Makala mpya ya filamu hizo itatolewa katika kipindi cha miezi saba ijayo.
Mpiga picha Katie Lee anasema aliamua kuchukua hatua hiyo kujikumbusha kuhusu filamu hizo azipendazo sana
Game of Thrones
"Nilijua kwamba lingekuwa jambo ngumu kufanikisha, nikiwa bado nahakikisha kwamba inakuwa harusi ya kufana," alisema.
Kulikuwa hata na mbweha - mbwa aliyepambwa kufanana na mbweha - kukamilisha muonekano wa Game of Thrones.
Tazama picha hizi.. 
Game of Thrones Photo shoot
Game of Thrones Photo shoot


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.