NAPE ATAJWA KUWA SHUJAA WA KIZAZI CHETU
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika haya>>>
Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu’
CORRECTION:Nimezungumza na mbunge wa Mtama @Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) March 23, 2017
No comments:
Post a Comment