WALICHOANDIKA WASANII, NA WANAHABARI BAADA YA KUTENGULIWA UWAZIRI WA NAPE
Wasanii, wanahabari mbali mbali wamemlilia nape nnauye, nimekueka hapa walichoandika kupitia kurasa zao za twitter :
Wema Sepetu :
We will Surely Miss U as Our Minister… Tulishakuzoea. Such a way to start Your Morning.. Lets wait for what’s NEXT…. This Is Tooo Much Jamani. This Country Be Full of Surprises Nowadays…. Smh.. Never Knew Nchi ina MaRais wawili… Now I know…. Smh…
Idris Sultan :
Raisi akashika Jiwe na Almasi akavipimaaaaaaaa aksema embu katupeni almasi ina’ngaa kijinga jinga tu nimeiambia ing’ae kwani.
Madee :
Sad newz

Masoud Kipanya :
Haya ni mawazo yangu… Ningekuwa @Nnauye_Nape ningekaa KIMYA kabisa
Diva :
Nimepata mshtuko wa mwaka
. Kama Kijana Mpenda Haki na Mpenda Maendeleo na Ninaejitegemea Nimepata Mshtuko wa Mwaka , Nimejiuliza maswal Kwa uchungu Chozi limetoka 

Peter Msigwa :
Kwa Magufuli bashite ni mhimu na ni bora kuliko Nape ndani ya chama na serikali! Hongera JPM!
Mwana FA :
Aisee..
Aika :
Its not dictactorship its being a coward #JustSaying running frm people challenging u 
Quick Rocka :
I don’t feel proud kuwa mtanzania anymore….Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa…Huku wanaozingua wanaendelea kupeta…Nape alikuwa waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na wanahabari.
No comments:
Post a Comment