BOTI YA UVUVI YAZAMA VISIWANI ZANZIBAR, IKIWA NA WATU ZAIDI YA 50



tarehe 4 April majira ya saa nane na nusu asubuhi Boti moja imezama baada ya kukumbwa na dharuba ya upepo huku kukiendele kunyesha kwa mvua

Boti hiyo ya uvuvi iliyo julikanwa kwa jina la SHOO ambayo ina milikiwa na Omar Kombo, ilizama katika maeneo ya magharibi ya kisiwa cha tumbatu baada ya kukubwa na dharuba ya upepo wakati ikiwa katika shuhuli zake za uvuvi.

Kwa taarifa za awali Boti hiyo inadaiwa kubeba zaidi ya watu 50 na watu 41 tayari wa meshaokolewa

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.