DR. KASSID AKIELEZEA KIINI CHA MABADILIKO YA SHERIA ILIOUNDA CHUO, IKIWEMO KUBADILI JINA LA CHUO
Makamu mkuu wa chuo cha Uhasibu Arusha, Dr. Faraji Kassid akimuongoza mkuu wa mkoa kuelekea kwenye mkutano wa wadau wa kubadilisha sheria iliyounda chuo cha uhasibu Arusha,
Akiongea katika mkutano huo, Dr. Kassid alieleza kiini cha kuja na mabadiliko hayo yanayopendekezwa ikiwemo lile la kubadili jina la chuo... nimekuekea video hapo chini msikilizee....
No comments:
Post a Comment