AUDIO : PAUL MAKONDA AKITAJA MAJINA MENGINE 65, WATUHUMIWA MADAWA YA KULEVYA... YUPO FREEMAN MBOWE, GWAJIMA


Image result for breaking news

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh. Paul Makonda muda mchache uliopita ametaja list nyingne yenye idadi ya watu 65 watuhumiwa wa biashara ya madawa ya akulevya ambao anataka kuonana nao Ijumaa Kituo cha Polisi Central Station saa 5 asubuhi,  na hii hapa nimekusogeszea Audio akitaja majina hayo. 

Wapo watu wengi wakiwemo wanasiasa kama Mwenyekiti wa Chadema Taifa, ndugu Freeman Mbowe, Yusuph Manji, Husein Pamba kali, Mchungaji Gwajima na wengine wengi... . 

Sikiliza Audio hapa chini ... #usikubalikupitwa 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.