BAADA YA KUISHI HOTELINI MIEZI 6 ,PAUL POGBA AMENUNUA JUMBA HILI LA KIFAHARI +PICHA




Baada ya kuishi kwenye hoteli ya Lowry kwa zaidi ya miezi sita tangu aliposajiliwa na Manchester United mwanzoni mwa msimu huu, Paul Pogba amefanikiwa kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 3.49.















No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.